Gazeti la MwanaSayansi

Karibu

MwanaSayansi ni gazeti la kwanza la sayansi kwa lugha ya Kiswahili nchini Tanzania ambalo hutoka kila baada ya wiki mbili, linalochapishwa na ResearchCOM.

 

Tunatoa habari na uchambuzi kuhusu sayansi/utafiti kukidhi mahitaji ya hadhira ya Kitanzania.

 

MwanaSayansi Toleo la 2

Tunakuhimiza kushiriki na kusambaza kwa mtu yeyote ambaye anathamini taarifa za sayansi za kuaminika.

Matoleo Yaliyopita

Mwanasayansi Toleo la 1